Deuteronomy 11:25

25 aHapatakuwa na mtu atakayeweza kusimama dhidi yenu. Bwana Mwenyezi Mungu wenu, kama alivyoahidi, ataweka juu ya nchi yote utisho na hofu kwa ajili yenu popote mwendako.

Copyright information for SwhKC